Home Dauda TV Video: Sholo Mwamba na Man Fongo kwenye uzinduzi wa Ndondo Cup 2017

Video: Sholo Mwamba na Man Fongo kwenye uzinduzi wa Ndondo Cup 2017

3646
0
SHARE

Leo Jumamosi Juni 17, 2017 ilikuwa ni simu ya uzinduzi wa Sports Extra Ndondo Cup hatua ya makundi ambapo uzinduzi huo umefanyika kwenye uwanja wa Kinesi, Shekilango-Sinza jijini Dar es Salaa.

Mbali na kushuhudia mtanange wa maana kati ya Stim Tosha dhidi ya Makuburi SC, kulikuwa na burudani nje ya uwanja kutoka kwa wasanii wa muziki wa Singeli maarufu kama muziki wa watoto kitaa ambako ndiko hasa timu hizi za Ndondo zinapotoka.

Sholo Mwamba, Man Fongo na Moto Kombati walikiwasha sana kwenye uzinduzi na kunogesha zoezi zima la uzinduzi kwani mashabiki waliokuwepo uwanjani walipata burudani ya aina yake.

Hapa chini unaweza kuangalia show ya Sholo Mwamba na Man Fongo ilivyokuwa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here