Home Kitaifa Simba imekamata mwingine toka Mtibwa

Simba imekamata mwingine toka Mtibwa

9614
0
SHARE

Na Zainabu Rajabu.
Kiungo kiraka wa Mtibwa Sugar Ally Shomari amemalizana na uingozi wa Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo.

Muda wowote kuanzia sasa Ally Shomari atatambulishwa, amekuwa mchezaji wa saba kusainishwa mkataba na Simba baada ya Jamal Mwambeleko, Yusuph Mlipili, Aishi Manula, John Bocco, Shomary Kapombe na Emmanuel Mseja.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here