Home Dauda TV Video: Sababu za Waziri Junior kuwaingiza mjini Yanga na kuibukia Azam

Video: Sababu za Waziri Junior kuwaingiza mjini Yanga na kuibukia Azam

11223
0
SHARE

Dauda TV imempata mshambuliaji mpya wa Azam FC Waziri Junior katika Exclusive interview ambapo na mchezaji huyo amezungumzia mambo mengi ikiwemo juu ya usajili wake na kwa nini amechangua kujiunga na Azam wakati awali alionekana Yanga akiwa kwenye za pamoja na baadhi ya viongozi wa klabu hiyo.

“Azam hata wangenipa 5000 ningeenda kwa sababu kuna kitu nimelenga, hata Ulaya tumeona mchezaji amelipiwa hadi tiketi ya ndege lakini mwisho wa siku anaenda upande wa pili,” Waziri Junio.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here