Home Kitaifa Rasmi: Bocco amekabidhiwa jezi ya Simba

Rasmi: Bocco amekabidhiwa jezi ya Simba

15710
0
SHARE

Baada ya viongozi wa Simba jana kumtambulisha Shomari Kapombe leo Juni 13, 2017 klabu ya Simba imemtambulisha rasmi nahodha wa zamani wa Azam FC John Bocco ‘Adebayor’.

Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kuanzia msimu ujao (2017/2018) akiwa kama mchezaji huru aliyeachwa na Azam FC.

Aishi Manula ni mchezaji mwingine wa Azam ambaye tayari amesha mwaga wino kuitumikia Simba kwa mkataba wa miaka miwili lakini yeye bado hajatambulishwa rasmi kuwa ni mchezaji wa Simba.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here