Home Kitaifa Video: Penati zilizoitupa Simba nje ya SportPesa Super Cup

Video: Penati zilizoitupa Simba nje ya SportPesa Super Cup

4146
0
SHARE

Kama hukuona mikwaju ya penati iliyoamua hatma ya Simba kwenye michuano ya SportPesa Super Cup, Daud TV ilinasa matuta yaliyoitupa Simba nje ya mashindano hayo.

Simba ilikalishwa kwa kufungwa penati 5-4 na timu ya Nakuru All Stars ya Kenya baada ya timu hizo kutoka suluhu katika dakika 90 za mchezo.

Wachezaji wa Simba waliofunga mikwaju yao ya penati ni Janvier Besala Bokungu, Mwinyi Kazimoto, Hafidh Mussa na Fiston Munezero huku golikipa wao Daniel Agyei mkwaju wake wa penati ukipaa juu.

Penati za Nakuru zilifungwa na Baraka Nturukundo, Aman Kyata, Maina Kangethe, Amakanji Ekmba na Kamau Nganga.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here