Home Dauda TV Video: Machache kutoka kwa mtanzania anaecheza Nakuru All Stars ya Kenya

Video: Machache kutoka kwa mtanzania anaecheza Nakuru All Stars ya Kenya

5703
0
SHARE
Amani Kyata (jezi namba 14) aliwahi kuichezea African Lyon kabla ya kwenda Kenya kutafuta maisha mapya ya soka ambapo kwa sasa yupo Nakuru All Stars

Amani Kyata ni mtanzania anaekipiga kwenye klabu ya Nakuru All Stars ya Kenya ambayo ndio imeiondoa Simba kwenye michuano ya SportPesa Super Cup.

Mchezaji huyu aliwahi kucheza kwenye klabu ya African Lyon kabla ya kwenda Kenya na kujiunga na klabu ya Nakuru All Stars ya Mombasa.

Baada ya mechi dhidi ya Simba, Dauda TV ilifanya mahojiano na mchezaji huyo kutaka kujua machache kuhusu mchezo wenye ulivyokuwa kwa upande wake na timu kwa ujumla.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here