Home Dauda TV Video: Ulimwengu amejibu kuhusu kutaka kujiunga Yanga na malengo yake Sweden

Video: Ulimwengu amejibu kuhusu kutaka kujiunga Yanga na malengo yake Sweden

28427
0
SHARE

Mshambuliaji wa AFC Eskilstuna ya Sweden na Taifa Stars amesema, Sweden kama sokoni kuelekea kucheza soka kwenye ligi kubwa kama yalivyo malengo yake.

Ulimwengu amesema majeraha ndio yalimrudisha nyuma na kumfanya asionekane uwanjani kwa muda, lakini kwa sasa yupo fiti na watanzania watasikia vitu vizuri kutoka kwake.

mchezaji huyo ambaye hajawahi kucheza ligi ya Tanzania amekanusha taarifa zilizowahi kumhusisha kutaka kujiunga na Yanga baada ya kuachana na TP Mazembe ya Congo DR.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here