Home Dauda TV Video: Dakika 1 ya ushauri wa Masao Bwire kwa Yanga

Video: Dakika 1 ya ushauri wa Masao Bwire kwa Yanga

14057
0
SHARE

Yanga wataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika msimu ujao kufuatia kuwa mabingwa wa VPL 2016/2917.

Msemaji wa Ruvu Shooting Mao Mwire ametoa ushauri kwa klabu hiyo ili kuhakikisha inafanya vizuri kwenye michuano hiyo na kuitangaza vyema Tanzania kisoka kwenye anga za kimataifa na kuacha kuwa wasindikizaji.

Huyu hapa Masao Bwire akitoa ushauri huo, angalia video hapa chini kujua hasa alichokizungumza Bwire.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here