Home Dauda TV Video: Walichofanya Azam FC kwa Bocco sio poa’ – Shaffih Dauda

Video: Walichofanya Azam FC kwa Bocco sio poa’ – Shaffih Dauda

26270
0
SHARE

Timu ya soka ya Azam FC imeachana na mshambuliaji wake tegemeo wa muda mrefu John Raphael Bocco baada ya mkataba wake kumalizika, lakini ukweli ni kuwa tumezoea kuona wachezaji waliodumu kwa muda mrefu wakiagwa kwa heshima kitu ambacho hakijafanywa na Azam FC.

Mchambuzi wa michezo Shaffih Dauda ameguswa kwa namna ambavyo John Bocco ameondoka Azam FC na ametoa ushauri baada ya uongozi wa klabu hiyo kuthibitisha hawatakuwa na Bocco kuanzia msimu ujao na kuanzia sasa JB nimchezaji uru.

Unaweza kuangalia video hapa chini kwa story zaidi kuhusu kilakitu ambacho amekiongea Shaffih Dauda kuhusu issue ya John Bocco na Azam FC.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here