Home Kitaifa Singida United inaendelea kutisha kwenye usajili

Singida United inaendelea kutisha kwenye usajili

9576
0
SHARE

Singida United kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram wameripoti kuwa kwenye mazungumzo ya mwisho na mchezaji wa Mbeya City Kenny Ally ili ajiunge na klabu hiyo pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa.

Klabu hiyo ambayo imepanda daraja kucheza VPL msimu ujao ilianza kusajili wachezaji wa mimataifa lakini baada ya ligi kumalizika wameanza kumalizana na wachezaji wa ndani kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Kenny Ally ametajwa kwenye kikosi bora cha msimu uliopita 2016/17 baada ya kuonesha kiwango cha juu akiwa na Mbeya City.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here