Home Dauda TV Exclusive Video: Niyonzima amezungumzia hatima yake ndani ya Yanga

Exclusive Video: Niyonzima amezungumzia hatima yake ndani ya Yanga

21791
0
SHARE

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amejibu kuhusu tetesi zilizopo mtaani kwamba huenda akaondoka ndani ya kikosi cha Yanga na asiwepo kwenye msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara 2017/2018.

Niyonzima amesema, mkataba wake unamalizika siku chache zijazo hivyo atatangaza kama ataendelea kuwepo Tanzania au ni wakati wake wa kuondoka na kwenda kutafuta maisha mahali pengine.

Niyonzi ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda amesema, katika misimu yote ambayo amefanikiwa kutwaa ubingwa akiwa Yanga, msimu huu ulikuwa mgumu na changamoto nyingi hadi kufikia kushinda taji la VPL kwa tofauti ya magoli.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here