Home Kitaifa Picha5: Yanga walivyosherekea kuifunga Toto Africans

Picha5: Yanga walivyosherekea kuifunga Toto Africans

7713
0
SHARE

Ushindi una raha yaka hususan ule unaokufanya uwe bingwa wa taji unalolipigania wakati huo.

Wachezaji, benchi la uundi pamoja na mashabiki wa Yanga waliripuka kwa furaha baada ya goli la Amis Tambwe dhidi ya Toto ambalo kimsingi lilikuwa likisubiriwa kwa hamu kwa sababu ndio limeamua ubingwa uendelee kubaki Jangwani.

Kwa kifupi Yanga watalitwaa taji hilo kwa sababu Simba wapo kwenye mazingira magumu ya kushinda taji hilo licha ya kwamba kwenye soka lolote linaweza kutokea.

Baada ya mechi kumalizika wachezaji walikwenda kusherekea pamoja na mashabiki wao ushindi dhidi ya Toto ambao ndio unawafanya watangaze taa ya kijani kuelekea ubingwa wa VPL msimu huu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here