Home Kimataifa DaudaTv: Huyu ndiye mchezaji wa Genk kutoka Holland anayeongea kiswahili.

DaudaTv: Huyu ndiye mchezaji wa Genk kutoka Holland anayeongea kiswahili.

26650
0
SHARE

Kwenye page ya instagram Mbwana Samatta utakua umewai kumuona mshkaji anaongea kiswahili baada ya kufundishwa na Samagoal.
Nikiwa hapa Genk Samatta amenikutanisha nae, jamaa ni raia wa Holland na yupo very good watoto wa mjini wanasema yupo cool. Tumepiga nae story na Dauda Tv ime cover kila kitu.
Hii hapa kwa ajili yako

 

 

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here