Home Kimataifa Tar 19 April, yasemavyo magazeti ya michezo barani Ulaya.

Tar 19 April, yasemavyo magazeti ya michezo barani Ulaya.

7126
0
SHARE

Daily Mail. Baada ya kiwango kizuri alichoonesha dhidi ya Chelsea sasa klabu ya Manchester United inataraji kumpa mkataba mpya Ander Herrera ambapo atakuwa akipokea £120,000 kwa wiki, lakini pia Sead Kolasnic ambaye anawindwa na Arsenal ameelezwa kwamba Arsene Wenger hataondoka Arsenal msimu ujao.

Daily Mirror. Gazeti la Daily Mirror limesema kocha wa Arsenal mzee Arsene Wenger tayari anafanha maandalizi ya msimu ujao wa ligi na ana uhakika kubaki klabuni hapo, ni miaka mitatu sasa imepita tangu Manchester United wamuuze Michael Kane lakini tetesi zinasema kocha wa timu hiyo Jose Mourinho anapambana kumnunja tena.

Daily Mirror hilohilo linasema klabu ya Bournamouth ya nchini Uingereza inaaangalia uwezekano wa kumnunua John Terry baada ya kutangaza kuachana na Chelsea mwisho wa msimu huu, klabu ya Sevilla inamtaka kocha wa Tottenham Hotspur Maurcio Pochettino endapo Jorge Sampaoli atakuwa kocha wa Argentina.

Daily Star. Gazeti hili lima habari kuhusu Mesut Ozil ambapo taarifa zinasema almanusra aondoke Arsenal msimu uliopita baada ya kuahidiwa pesa kubwa China lakini alizikataa, scout maarufu kwa kutafuta vipaji wa Manchester United David Friio anatarajia kuhamia St Ettiene ya nchini Ufaransa.

The Sun. Golikipa wa Arsenal David Ospina baada ya kusugua benchi sana, sasa anataka kutimkia nchini Uturuki katika klabu ya Fernabache,hii inaweza kimfanya golikipa wa timu hiyo Wojciech Szczency aliyeko Roma kwa mkopo kurejea katika klabu hiyo.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here