Home Kitaifa Mavugo kawapa kazi mashabiki mashabiki wa Simba

Mavugo kawapa kazi mashabiki mashabiki wa Simba

9641
0
SHARE

Na Zainabu Rajabu

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba Laudit Mavugo amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuendeleza mshikamano uliopo ili kuhakikisha wanaibuka na ubingwa msimu huu.

Mavugo amesema matokeo mazuri yanayopatikana yanachangiwa na ushirikiano kutoka kwa mashabiki na amewataka waendelee kuiunga mkono timu hiyo ili kuhakikisha wananyakua ubingwa msimu huu.

“Sisi wachezaji tunatimiza majukumu yetu uwanjani na wao waendelee kutusapoti na sio kwenye ushindi tu hata tukipoteza kwakuwa mpira una matokeo matatu,” alisema Mavugo.

Mshambuliaji huyo kipenzi cha Wanasimba Laudit Mavugo jaa alifunga bao pekee la kuipelekea timu yake hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho (ASFC).

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here