Home Kitaifa Picha: Serengeti Boys walivyopimwa kwa ajili ya kushonewa suti

Picha: Serengeti Boys walivyopimwa kwa ajili ya kushonewa suti

2462
0
SHARE

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu amesimamia zoezi la upimaji suti kwa wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys.

Zoezi hilo limefanyika leo kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwa ni maandalizi ya timu hiyo kuelekea kwenye michuano ya AFCON U17 itakayofanyika Gabon mwezi May mwaka huu.

Serengeti Boys ipo kambini kwenye hostel za TFF ikiendelea na mazoezi kujiandaa na mivhuano hiyo ya vijana ambapo Tanzania imefuzu kwa mara kwanza katika historia ya mashindano hayo.

Tanzania imepangwa Kundi B panoja na timu za Mali, Angola na Nigeria wakati Kundi A likiwa na wenyeji Gabon, Cameroon, Guinea na Ghana.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here