Home Dauda TV VIDEO: Goli la Mavugo lililoipeleka Simba robo fainali FA Cup

VIDEO: Goli la Mavugo lililoipeleka Simba robo fainali FA Cup

17678
0
SHARE

TIMU ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kombe la FA baada ya kuifunga African Lyon kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa 16 bora.

Bao katika mchezo huo ambalo limeipa Simba ushindi limefungwa na Laudit Mavugo dakika ya 57 akipokea pasi safi kutoka kwa Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’.

Kikosi cha Simba Jonas Mkude, Daniel Agyei, Janvier Bukungu, Mohammed Hussein, Abdi Banda, Novalty Lufunga, James Kotei, Said Ndemla, Laudit Mavugo, Juma liuzio.

Kikosi cha African Lyon Baraka Jaffary, Rostand Youthe, Miraji Adam, Omaru Salum, Hamadi Waziri, Hassan Isiaka, Peter Mwalianza, Hamad Manzi, Rehani kibingu, Venance Joseph, Omary Data.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here