Home Kitaifa PICHA4: Nyuso za Simba baada ya kupoteza fainali Mapinduzi Cup 2017

PICHA4: Nyuso za Simba baada ya kupoteza fainali Mapinduzi Cup 2017

1395
0
SHARE

IMG_0348

Hakuna timu inayopenda kupoteza mchezo hasa mechi ya fainali huku kombe likiwa limewekwa tayari kwa ajili ya bingwa.

IMG_0317

Hiki ndicho kimewatokea Simba usiku wa Ijumaa January 13 kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar.

IMG_0353

Wakiwa wanajua kabisa wakishinda mechi watakuwa mabingwa wapya na kukabidhiwa kombe la Mapinduzi 2017, Simba walijikuta wakiishia kuhuzunika kutokana na kupoteza mchezo wao wa fainali mbele ya Azam.

IMG_0366

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here