Home Dauda TV Video: Penati za Simba zilizoifungashia Yanga virago Mapinduzi Cup 2017

Video: Penati za Simba zilizoifungashia Yanga virago Mapinduzi Cup 2017

2444
0
SHARE

dsc_0252

Simba iliing’oa Yanga kwenye Mapinduzi Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya pambano lao la nusu fainali kumalizika bila timu hizo kufungana.

Simba walifanikiwa kukwamisha kambani penati 4 ambazo zilipigwa na Jonas Mkude, Daniel Agyei, Mzamiru Yassin na Boukungu huku beki kongwe Method Mwanjale penati yake ikipanguliwa na golikipa wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’.

Simon Msuva na Thaban Kamusoko ndio wachezaji pekee wa Yanga waliofunga penati zao, Deogratius Munishi na Mwinyi Haji wao mikwaju yao ilitua mikononi mwa Daniel Agyei golikipa wa Simba.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here