Home Dauda TV Video: Goli la Frank Domayo lililoipeleka Azam fainali Mapinduzi Cup2017

Video: Goli la Frank Domayo lililoipeleka Azam fainali Mapinduzi Cup2017

817
0
SHARE

dsc_0062

January 10, 2017 ilichezwa michezo ya nusu fainali ya Mapinduzi Cup kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC ndio ilikuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya fainali ya Mapinduzi kufatia ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Taifa Jang’ombe mechi iliyotangualia mapema saa 10:15 jioni.

Frank Domayo akiwa katika ubora wake ndio aliwafungia Azam bao pekee lililowavusha na kuwapeleka hatua ya fainali baada ya miaka mitatu kupita.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here