Home Kimataifa Mfahamu kidogo girlfriend mpya wa CR7 na picha 6.

Mfahamu kidogo girlfriend mpya wa CR7 na picha 6.

803
0
SHARE

screen-shot-2017-01-10-at-4-47-11-pmGeorgina Rodriguez jina jipya katika ulimwengu soka kutokana na kuonekana rasmi na Cristiano Ronaldo mwanasoka bora duniani kwa sasa. Georgina alikua kwenye tetesi kwa muda mrefu lakini haikuthibitishwa rasmi kwamba ni msichana mpya mwenye uhusiano na CR7. Hatimaye jana wameonekana pamoja kwenye red carpet ya tuzo za Best Awards na kuthibitishahabari hii.

Georgina ni raia wa Spain mwenye miaka 21 amekulia huo Jaca jiji ambalo lipo kusini mwa hispania. Mara kadhaa wameonekana wakiwa pamoja na Ronaldo wakiwa kwenye matukio ya kuonyesha kwamba kuna kitu kati yao.

Inaamika kwamba Ronaldo na Georgina walikutana kwenye VIP area ya tukio la Dolce & Gabbana. Baada ya tukio lile inasemakana walianza kuwa na uhusiano kwa siri kabla hawajaonekana pamoja kwenye park moja huko Ufaransa. Rodriguez pia alikua ni mfanyakazi wa Gucci hapo zamani.

screen-shot-2017-01-10-at-4-47-39-pmscreen-shot-2017-01-10-at-4-47-11-pm screen-shot-2017-01-10-at-4-46-52-pm screen-shot-2017-01-10-at-4-46-24-pm screen-shot-2017-01-10-at-4-46-09-pm screen-shot-2017-01-10-at-4-45-51-pm

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here