Home Kimataifa Diamond na Mohombi wametengenza wimbo official wa AFCON.

Diamond na Mohombi wametengenza wimbo official wa AFCON.

791
0
SHARE

screen-shot-2017-01-10-at-6-35-33-pm
Michuano ya AFCON inakaribia kuanza na habari nzuri na mpya ikufikie kwamba msanii wa Tanzania Diamond Platnumz ametengeneza wimbo official kwa ajili ya michuano hii ya mwaka huu.
Kazi hiyo amefanya pamoja na msanii Mohombi na Franco ambapo wanategemewa ku-perform kwenye ufunguzi wa michuano hii nchini Gabon. Ukitaka kujua ukubwa wa project ambayo Diamond amefanya inabidi ufikirie wimbo kama Waka Waka wa Shakira ambao ulikua ni official song kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia ndani ya South Africa.
Pia unaweza kukumbuka mechi ya Ricky Martin kwenye michuano kombe la dunia Ufaransa 1998. Sasa tunasubiri kama Diamond na wenzake wataweza kutoa ngoma kali kama hizi mbili.

Jikumbushe na ngoma hizi mbili ambazo zilikua ni official songs za Kombe la dunia.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here