Home Kimataifa Wenger agoma kutoa £55million kumpata mkali huyu.

Wenger agoma kutoa £55million kumpata mkali huyu.

693
0
SHARE

wenn

Sio kwaida ya Arsenal kulipa pesa nyingi kumsajili mchezaji au kumlipa mshahara mzito kama club nyingine kama Chelsea au Manchester united.

Sasa hivi Arsenal walikuana dili na mfumania nyavu wa club ya Torino Andrew Belotti kujiunga na club hiyo. Sports director wa Torino ametoa habari kwamba ofa iliyokua mezani kupata huduma ya mchezaji huyo ni kiasi cha £55million.

11

Mchezaji huyo mwenye miaka 23 ameshafunga mara 13 kwenye mechi 16 msimu huu alizocheza. Upande wa Torino umeongeza kwamba pesa ambazo walizotaka kutoa Arsenal haziendani na thaamani ya mchezaji wao. Kwasasa hivi pia wanataka kuendelea kufurahia kumuona mchezaji huyo akifunga magori zaidi kwenye club yao.

Hii ni video ya highlights za Andrea Belotti.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here