Home Kimataifa Video ; Free Kick ya Messi iliyowaokoa Barcelona.

Video ; Free Kick ya Messi iliyowaokoa Barcelona.

720
0
SHARE

cover

Barcelona wameanza kwama 2017 kwa kupoteza na sasa wamepata draw. The Catalans wana struggle kwa washambuliaji wao Suarez na Neymar ambao ndio tegemo lao la kufanya maajabu kwenye sekta ya ushambuliaji.

Suarez hakua na mchezo mzuri na Neymar anaendelea kuwa ukame wa magoli. Villarreal walitoboa dakika ya 49 kupitia Nicola Sansone kutoka kwenye assist ya Alexandre Pato.

Kama kawaida Messi alionekana kuwa ndio tegemezi pekee la Barcelona baada ya kujaribu kuleta madhara mara kadhaa kwenye mchezo huo.

Dakika ya 90 hatimaye Barcelona wakaponea chupuchupu kupoteza mchezo huo baada ya free kick ya Messi kuleta mafanikio na kufanya matokeo yawe moja moja.

Hii hapa ni video ya free kick ya Messi akisawazisha goli hilo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here