Home Dauda TV Video: Magoli yote ya Simba vs Jang’ombe

Video: Magoli yote ya Simba vs Jang’ombe

1193
0
SHARE

dsc_0277

Januari 7, 2017 Simba ilifuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Jang’ombe Boys kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi A na kufikisha pointi 10 ikiwa ndio kinara wa kundi ilo.

Magoli yote yalifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 kipindi cha kwanza na dakika ya 54 kipindi cha pili.

Kama ulipitwa na magoli hayo hapa unapata fursa ya kuyatazama kupitia Dauda TV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here