Home Ligi EPL Video: Magoli yote Man City 5-0 West Ham

Video: Magoli yote Man City 5-0 West Ham

613
0
SHARE

man-city-vs-west-ham

Manchester City imepata ushindi mkubwa kwenye mchezo wa FA Cup raundi ya tatu kwa kuichapa 5-0 klabu ya West Ham United.

Yaya Toure alianzisha balaa dakika ya 33 kabla ya Havard Nordveit kujifunga dakika 42, David Silva akafunga bao dakika ya 43, Aguero akazama kambani kufunga bao la nne dakika ya 51 huku John Stones akikamilisha ushindi dakika ya 84.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here