Home Kitaifa Simba hata ukiwatupa kwenye Volley Ball wamo

Simba hata ukiwatupa kwenye Volley Ball wamo

673
0
SHARE

20170106_183200

Watu wengi wamezoea kuwaona wachezaji wa Simba wakisakata soka uwanjani, lakini kumbe wapo baadhi yao wako vizuri kwenye michezo mingine pia.

December  6 wachezaji wa Simba hakuwa na mechi kwenye Kundi lao A kwenye mashindano ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar, wakatumia fursa hiyo kupumzika na kuzunguka maeneo ya beach. Lakini wakiwa beach wakakutana na mpira wa Volley Ball hapo hapo wakajipanga wakaanza kukipiga.

Juma Liuzio, Manyika Jr, Boukungu, Kichuya, Mzamiru ni baadhi ya wachezaji wa Simba waliocheza mchezo wa Volley Ball.

20170106_183039

Jumapili  January 8, Simba itacheza mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys wakati URA yenyewe itapamabana na Taifa Jang’ombe ili kujua timu gani itaongoza kundi hilo kwa sababu Simba ina pointi 7, Jang’ombe Boys ina pointi 6, Taifa Jang’ombe ina pointi sita pia huku KVZ ikiwa imemaliza mechi zake nne bila pointi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here