Home Dauda TV VIDEO: Goli la Simba lililoipa Simba uongozi wa Kundi A Mapinduzi Cup...

VIDEO: Goli la Simba lililoipa Simba uongozi wa Kundi A Mapinduzi Cup 2017

961
0
SHARE

dsc_0255

January 3 Simba ilijiweka kwenye nafasi nzuri baada ya kupata ushindi wake wa pili kwenye michuano ya Mapinduzi Cup kwa kuifunga KVZ kwa goli 1-0 katika mchezo wa Kundi A uliochezwa kuanzia majira ya saa 2:15 usiku.

Mzamiru Yassin ambaye alikuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ndiye aliyeifungia Simba bao pekee dakika ya 44 ya mchezo huo lililoifanya ifikishe pointi 6 na kuongoza Kundi A.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here