Home Dauda TV Video:Highlights Mapinduzi Cup2017

Video:Highlights Mapinduzi Cup2017

748
0
SHARE

Michuano ya 11 ya Mapinduzi Cup inaendelea kusonga mbele visiwani Zanzibar ambapo jana zimeshuhudiwa mechi mbili kutoka Kundi A.

Mchezo wa kwanza ulikuwa ni wa mapema ambao ulichezwa saa 10:00 jioni kati ya KVZ vs URA ambapo URA imeanza vizuri kutetea ubingwa kwa kupata ushindi wa magoli 2-0.

Simba ikacheza mechi yake ya kwanza msimu huu saa 2:15 dhidi ya Taifa Jang’ombe na kufanikiwa kushinda kwa magoli 2-0.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here