Home Ligi EPL Tegemea kumuona Arturo Vidal kwenye EPL na club hii

Tegemea kumuona Arturo Vidal kwenye EPL na club hii

1683
0
SHARE

screen-shot-2016-12-21-at-8-01-53-pm

Ukizungumzia ligi ya England ni kivutio cha wachezaji wengi sana duniani kutokana na umaarufu wake na ushindani mkubwa uliopo. Arturo Vidali ameshacheza ligi ya Italy na kushinda makombe, ligi ya Ujerumani na kushinda makombe. Hivyo basi changamoto ya ligi ya England inaweza kuwa nzuri kwake hasa wakati huu ambapo kocha anayefanya vizuri Antoino Conte inavyoripotiwa anataka hudua yake.

Inaweza kuwa cost Chelsea kiasi cha pound milioni 42 ili kuweza kumchukua mchezaji huyu. Conte anajiamini kutokana na uwezo wao wa kipesa pamoja na nafasi waliokua nayo ya kuweza kuchukua ubingwa. Vyote hivi vinaweza kumshawishi Vidal kujiunga nao.

Chelsea wamekua na bahati linavyokuja swala la kupata majeraha kwa wachezaji wake. Sasa akija Vidal itasiadia kuimarisha kikosi na kufanya club hiyo kuwa na nguvu ya kuelekea kuchukua ubingwa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here