Home Kimataifa James Rodriguez na dalili mpya za kwenda EPL

James Rodriguez na dalili mpya za kwenda EPL

1118
0
SHARE

screen-shot-2016-12-20-at-7-22-26-pmMchezaji wa Real Madrid James Rodriguez ameendelea kuonyesha dalili zote kwamba anakaribia kujiunga na club moja wapo inayoshiriki kwenye ligi ya England.

James ambayee alipata umaarufu mkubwa kwenye michuano ya kombe la dunia sasa hivi yupo kwao kwa ajili ya mapumziko ya holiday na inasemakana anatumia muda huu kuamua kuhusu sehemu ambayo ataendeleza career yake ya soka.

Wiki iliyopita James asikika kwenye radio moja huko Spain akisema hivi, “Siwezi kukuhakikishia kama nitabaki Real Madrid baada ya dirisha dogo, nina ofa ambazo natakiwa kuzifikiria ndani ya siku 7 na kufanya maamuzi”.

Kuendeleza uwezekonao wa James kwenda kwenye ligi ya England ni kwamba ameonekana kwenye ubalozi wa England huko Bogota. Uwepo wa James kwenye ubalozi huo unaendelea kukamilisha story za safari yake ya kwenda England.

James Rodriguez anategemewa kujiunga na club ya Chelsea au Manchester United.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here