Home Kimataifa Huyu ni nani Santa Claus kutoka EPL?

Huyu ni nani Santa Claus kutoka EPL?

997
0
SHARE

santa
Msimu wa sikukuu umekafika na kila sehemu kuna shamrashamra za kusherekea kwa style mbalimbali. Miti ya Christmas imekua mingi kila sehemu na wacheza soka nao wanaenda sawa na msimu huu.

Leo ni zamu ya kijana mdogo Jesse Lingards ambae anatengeneza vichwa vya habari kwa style yake ya kushangilia akiwa na pacha wake Paul Pogba.

santa2

Jesse ameendelea style yake kushangilia ‘Dabbing’ akiwa na mavazi ya father christmas. Hii michezo sio ya bura bali hadi sasa hivi Jesse ameweza kuanzisha brand yenye logo aki-dab. Logo hiyo inatumika kuuza mavazi mbali mbali kama t shirt, kofia na vinginevyo.

santa23 jesse-lingard-christmas-jumper-santa-hat-christmas-tree

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here