Home Entertainment Alikiba katwaa tuzo ya soka Uganda

Alikiba katwaa tuzo ya soka Uganda

1915
0
SHARE

alikiba-1

Jumamosi December 17 Alikiba alitwaa tuzo ya The Best Celebrity Player Award nchini Uganda baada ya mchezo wa hisani kwa ajili ya kuchangia pesa kwa mama wajawazito (Dorah Foundation).

Mkali huyo wa Bongofleva alikuwa upande wa timu (The Celebrity White Team) iliyosheheni mastaa mbalimbali akiwemo mchezaji wa zamani wa Simba na Yanga Emanuel Okwi.

alikiba

Mchezo huo ulimalizika kwa timu ya Alikiba (The Celebrity White Team) kuibuka na ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya The Green Team.

Baada ya mchezo kumalizika, Alikiba alikabidhiwa tuzo ya The Best Celebrity Player Award.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here