Home Ligi EPL Mkhitaryan; Mkali wangu wa EPL ni Thierry Henry

Mkhitaryan; Mkali wangu wa EPL ni Thierry Henry

626
0
SHARE

man

Maisha yanaanza kumnyookea Henrikh Mkhitaryan ndani ya Manchester United baada ya kuanza kufumania nyavu hasa kwenye mechi muhimu.

Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 27 amesema wazi kwamba yeye akiwa anakua alikuna na bado anamkubali sana mshabuliaji icon wa Arsenal Thierry Henry. Henrikh Mkhitaryan akiongea kuhusu maisha yake hadi sasa hivi ndani ya Manchester united alisema kwamba maisha yake ni mazuri na anajiskia vizuri kucheza kwenye club hiyo ambayo wachezaji wengi duniani wangependa kucheza.

Swali ambalo wengi hawakutegemea majibu yake ni pale alipoulizwa kuhusu nani ni EPL idol wake, jibu lilikua moja kwa moja ni Henry. Henrikh Mkhitaryan amesema kamba alimtazama mara nyingi Henry akifanya vizuri kwenye EPL na yeye ndio mkali wake wa EPL.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here