Home Ligi EPL Habari nzuri kwa Arsenal, wachezaji wawili wamekubali kuongeza mikataba

Habari nzuri kwa Arsenal, wachezaji wawili wamekubali kuongeza mikataba

881
0
SHARE

tt

Habari kubwa kutoka Ufaransa inawahusu wachezaji wawili ambao sio Sanchez na Ozil wanaosubiriwa na mashabiki wengi. Taarifa kutoka RMC Sports zinawahusu wachezaji Olivier Giroud na Francis Coquelin ambao wote wamekubaliana na club yao kuongeza mikataba mipya.

Giroud mwenye miaka 30 mkataba wake wa sasa ungeisha mwaka 2018, RMC Sport wametangaza kamba mchezaji hutu amekubali ku sign mkataba mpya ambapo atabaki hadi mwaka 2019.

Kwa upande wa Francis Coquelin ambaye mkataba wake ungeisha mwaka 2019, sasa hivi ame saini mkataba ambao utamuweka ndani ya Arsenal hadi 2021.

Kwa sasa hizi ndizo habari za kuongeza mikataba kwa wachezaji wa Arsenal tukiendelea kusubiria ya Ozil na Sanchez hatma yao ni ipi.

t

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here