Home Kimataifa Lebron James Aweka Rekodi ya Kipekee.

Lebron James Aweka Rekodi ya Kipekee.

1459
0
SHARE

lebron-no-look-tt-hornets-1

Inawezekana kabisa kuwa akilini mwa wapenzi wengi wa mpira wa kikapu kwa sasa kukawa na picha za Russell Westbrook na James Harden kama wachezaji waliokuwa juu katika mbio za kutwaa uchezaji wenye thamani zaidi katika NBA, lakini hii haimfanyi Lebron kukaa mbali na rekodi ama kucheza vyema kila kukicha.

Baada ya kuingia katika nafasi kumi za juu za wachezaji waliofunga pointi nyingi zaidi katika historia ya NBA, usiku wa jana Lebron aliweka rekodi nyingine kubwa zaidi.

Katika mchezo huo kati ya Charlotte Hornets dhidi ya Cleveland Cavaliers, LeBron James amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya NBA kuweza kufikia pointi 27,000, assist 7,000, na kudaka rebound 7,000. Hii ndio pasi yake ya 7000 ambayo aliitoa bila kutizama kwa mchezaji Tristan Thompson.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here