Home Kimataifa Balotelli: Naweza kushinda Ballon Dor

Balotelli: Naweza kushinda Ballon Dor

900
0
SHARE

screen-shot-2016-12-10-at-3-01-47-pm

Kila anayempenda Mario Balotelli sasa hivi amefurahia come back yake kwenye kikosi chake kipya. Watu wengi walijua kwamba ndio mwisho wa kipaji cha mchezaji huyo lakini inaonekana ana furaha sana kwenye club ya Nice.

Kwenye mahojiano Balotelli alisema kwa kujiamini kwamba “Kama ningekua na mwaka mzuri, niko fit na nime focus. Nadhani sio kitu kisichowezekana mimi kushinda Ballon Dor.  Kuna siku nitashinda Ballon Dor. Nadhani Ronaldo na Messi wanaonekana ni bora sana kwa sasa kwasababu wameshinda zaidi ya mara moja”.

Pia Balotelli aliongeza kuhusu yeye kuwa na uwezekanao wa kurudi England, Balotelli alisemam,“Kama nikienda England kwa uhakika sitaenda Liverpool kabisa kwasababu nijiona nakuwa vibaya sana nikiwa pale. Kama siku zote nasema timu ilikua nzuri na mashabiki walikua poa lakini siwezi kurudi Liverpool. Club ya kwanza naifikiria kama nikitaka kurudi England ni Manchester City na landa Arsenal ambayo naipenda kwa siku zote.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here