Home Kimataifa Alex Sanchez kapewa ofa ya £400,000 kutoka nje ya Arsenal.

Alex Sanchez kapewa ofa ya £400,000 kutoka nje ya Arsenal.

1118
0
SHARE

screen-shot-2016-12-07-at-7-13-15-pm
Ni rahisi kusema kwamba Arsenal wana kazi kubwa kumshawishi Alex Sanchez asaini mkataba mpya kwa pesa ya kawaida kutokana na thamani yake kwa sasa hivi. Sanchez anapata sababu ya ziada kuvimba wakati wa kujadili ofa yake kutokana na club zote kubwa kuwa wanataka huduma yake kwa sasa.

Sanchez amepokea ofa ya £400,000 kutoka kwenye club inayocheza ligi ya China. Club hii imeamua kwenda moja kwa moja na kuwa wazi kwenye mshahara wa Sanchez huku club nyingine zikiwa kimya.

Kwa sasa mshahara wa Sanchez ni £130,000 na umebaki muda mfupi sana mkataba wake kuisha. Mchezaji mwingine nyota wa Arsenal Mesut Ozil yeye anategemewe kusaini mkataba mpya ambao atalipwa £200,000 kwa wiki, Ozil anaonekana kuwa na furaha ndani ya Arsenal haina wasiwasi kwamba atasaini mkataba huo.

Club nyingine za Ulaya zinazomtaka Sanchez na zimeweka wazi interest zao ni Juventus na PSG. Kwa upande wa Arsenal sio rahisi kuvunja kibubu na kutoa mshahara wa £400,000 kwa mchezaji kwa sasa.

screen-shot-2016-12-07-at-7-11-54-pm

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here