Home Ligi EPL Pep Guardiola azungumzia Man City kumtaka Sanchez

Pep Guardiola azungumzia Man City kumtaka Sanchez

664
0
SHARE

screen-shot-2016-12-05-at-7-40-02-pm
Gazeti moja la huko Chile liliandika habari kwamba mchezaji kocha Pep amefanya mawasiliano au kwa njia moja wapo ya karibu na machezaji Sanchez kwa lengo la kutaka kuwa naye kwenye kikosi.

Akiwa kwenye mahojiano na waandishi wa habari kama kawaida waandishi walitaka kujua ukweli juu ya tetesi za mchezaji huyu nyota wa Arsenal. Manager wa Manchester City alikanusha vikali bila kuzungusha maneno kwa kusema mwandishi huyo ni muongo.

“Huyo mwandishi ni muongo, muongo kabisa”, hii ilikua sentensi moja tu kujibu swali hili na kukanusha tetesi zote. Hat trick ya Sanchez imesaidia kuipeleka Arsenal kwenye namba mbili kwenye table EPL. Story za Sancheza kutaka kujiunga na Man City zinatokana na kwamba hakuna mazungumzo ya kutaka kusaini Sanchez kwa miaka mingi zaidi.

Pia Pep na Sanchez waliwai kuwa pamoja Barcelona kitu ambacho kinaweka wazi kwamba kuna ukaribu na kujuana kabisa kati ya hawa watu wawili.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here