Home Kitaifa Bao la Luambano limeweka historia Clouds FM

Bao la Luambano limeweka historia Clouds FM

1034
0
SHARE

luambano-2

Katika kusherekea kufikisha miaka 17 ya Clouds FM Radio, timu ya Sports Extra ‘The Dream Team ikiongozwa na captain wake wa kudumu Mbwiga Mbwiguke iliichapa timu ya DHL kwa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe.

luambano-1

Alex Luambano a.k.a Lwandamina ndio alikuwa shujaa wa mechi hiyo baada kupachika bao pekee dakika za mapema kipindi cha kwanza na kudumu kwa dakika zote.

luambano

‘What a coincidence’, Goli la Luambano lilikuwa na maana kubwa sana siku jana kwasababu mfungaji alivaa jezi namba 17 na alifunga goli wakati Clouds FM ikisherekea miaka 17 tangu kuanzishwa kwake.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here