Home Kimataifa Hawa ndio watu 6 ambao Ronaldo hatawasahau kwenye maisha ya soka hadi...

Hawa ndio watu 6 ambao Ronaldo hatawasahau kwenye maisha ya soka hadi sasa.

691
0
SHARE

screen-shot-2016-11-19-at-4-43-09-pm
Kila mtu anafika kwenye level ya juu ya mafanikio kwa juhudi zake na pia kwa msaada wa watu wake wa karibu. Cristiano Ronaldo leo hii anaonekana kuwa ni mchezaji wa kiwangi cha juu lakini hawa hapa ni watu nane ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa kufika hapa alipofika.

Laszlo Boloni

screen-shot-2016-11-19-at-4-26-09-pm
Hutu ndiye kocha wa Ronaldo aliyempa nafasi ya kwanza kuwa mchezaji professional kwenye club ya Sporting Lisbon. CR7 alicheza hapa na kukua kabla ya hajahamia United ambapo umaarufu wake ndio uliongezeka.

Sir Alex Ferguson

screen-shot-2016-11-19-at-4-26-18-pm
Scotsman alimchukua Ronaldo mwaka 2003 na akakaa nae kwa muda miaka 6 akiingia kwenye mafanikio ya kushinda mataji makubwa ya soka. Ronaldo siku zote anamchukulia Sir Alex kama baba yake kwenye ulimwengu wa soka.

Carlos Queiroz

screen-shot-2016-11-19-at-4-26-34-pm
Kocha msaidizi wa Manchester united alimfanya Ronaldo kuwa comfortable wakati yupo Manchester hasa kwenye miaka ya mwanzoni. Licha ya Ronaldo kuwa karibu sana na Sir Alex lakini alikua na connection ya karibu na Carlos kutokana na kuwa wanatoka wote Portugal na wanaongea lugha moja ya nyumbani.

Jorge Mendes

screen-shot-2016-11-19-at-4-26-47-pm
Wakala wa Ronaldo amefanya kazi kubwa ya kumtafutia kazi nzuri zenye malipo makubwa na kumjengea Ronaldo mafanikio makubwa kibiashara. Ronaldo analipwa vizuri na kampuni mbalimbali kutokana na kazi kubwa ya Jorge Mendes.

Rio Ferdinand

screen-shot-2016-11-19-at-4-26-56-pm
Richa ya Roy Keane kuwa captain kwa wakati Ronaldo anaingia United, Ferdinand ndio alikua kama kaka mkubwa kwa CR7. Alikua karibu na Ronaldo wakati wote wakiwa kwenye dressing room.

Luiz Felipe Scolari

screen-shot-2016-11-19-at-4-27-07-pm
Huyu ndiye kocha ambaye alifanya ndoto za Ronaldo kuwa za kweli baada ya kumpa majukumu kwenye timu ya taifa ya Portugal kwa mara ya kwanza.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here