Home Ligi BUNDESLIGA Usain Bolt na ndoto za soka…ameanza ku-train na Borussia.

Usain Bolt na ndoto za soka…ameanza ku-train na Borussia.

990
0
SHARE

screen-shot-2016-11-13-at-3-38-52-pm
Akiwa na umri wa miaka 30 na medali za dhahabu lakini bado anaishi na ndoto za kucheza soka la kulipwa tangu zamani. Bolt ambae ni shabiki mkubwa wa Manchester united, alionyesha hamu yake ya kucheza soka tangu wakati Man United ikiwa chini ya Sir Alex Ferg.

Baada ya kushinda mara tisa meda za dhahabu kwenye Olympic , anaamua kuendelea kusaka ndoto za kutaka kuwa mchezaji soka lakini sasa hivi kwenye ligi ya Bundesliga.

Kocha wa Borussia Dortmund imeripotiwa kwamba atammpa nafasi Usain Bolt kufanya mazoezi na wachezaji wake wakiwemo mastaa kama Marco Reus,Mario Gotze na Pieere Aubameyang. Bolt amesema yupo kwenye mipango ya kusafiri kwenda Ujerumani kwenda kwenye mualiko huo alioupata.

Bolt anaonekana kuwa mtu wa muhimu kwenye wing ya timu yoyote kutokana na uwezo wake wa kukimbia sana. Licha ya kupata mualiko huo lakini Bolt basdo anaonyesha mapenzi makubwa kwa Manchester unite, Bolt alisema “Kwa mimi kupata nafasi ya kucheza Manchester Unite itakua ndoto iliyotimia, itakua kitu kikubwa sana”.
screen-shot-2016-11-13-at-4-03-24-pm

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here