Home Entertainment Benzema anazidi kujiongezea magari makali.

Benzema anazidi kujiongezea magari makali.

1170
0
SHARE

screen-shot-2016-11-12-at-12-44-13-pmUkiwa na pesa nyingi basi lazima utafanya vitu flani ambayo vinakufurahisha ili maisha yako yawe vizuri kabisa kutokana na kipato unachoingiza. Kwa upande wa Karim Benzema ni mpenzi mkubwa sana wa magari ya kifahari na huwa hafichi magari hayo.

Kama unamfatilia Benzema basi utakua umeshwai kumuona akionyesha gari lake kali aina ya Bugatti. Magari mengine ambayo Benzema anamiliki ni kama Mini Cooper, Audi RS5,BMW M6, Ferrari 599 GTO,Mercedes MCLaren SLR na hivi sasa ameongeza Audi mpya.

screen-shot-2016-11-12-at-12-45-39-pm

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here