Home Ligi EPL London derby- Jinsi takwimu zinavyombeba Wenger dhidi ya Spurs

London derby- Jinsi takwimu zinavyombeba Wenger dhidi ya Spurs

402
0
SHARE

1Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefurahia sana maisha yake ya kudumu miaka yake 20 akiwa klabuni hapo ikiwa ni pamoja na kuitawala ama kuwa mbabe wa Tottenham ambao ni mahasimu wao wakubwa kwenye jiji la London.

Kwenye mechi 191 ambazo timu hizo zimekutana, Arsenal wameshinda mara 80, Spurs mara 61 na 50 zimemalizika kwa sare

Tangu awe meneaja wa Arsenal, Arsene Wenger amecheza michezo 48 ya Premier League dhidi ya Spurs na kushinda mara 22- sawa na uwiano wa asilimia 46, ametoka sare mara 19, kwa maana kwamba ameweza kujinyakulia pointi kwa asilimia 85 ya mechi dhidi ya mahasimu wao hao.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here