Home Dauda TV VIDEO: Highlights za magoli yote Yanga vs Mbao FC

VIDEO: Highlights za magoli yote Yanga vs Mbao FC

2288
0
SHARE

dsc_0231

Beki wa Yanga Vicent Bossou ameandika historia mpya kwenye ligi kuu Tanzania bara baada ya leo kufanikiwa kupasia kamba kwa mara ya kwanza ndani ya VPL tangu alipojiunga na mabingwa hao wanaotetea taji la ligi kuu walilotwaa msimu uliopita.

Bossou alifunga goli hilo dakika ya 50 akiunganisha mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na Haruna Niyonzima.

Golikipa wa Mbao alijifunga wakati akiwa katika harakati za kuokoa mpira wa kurushwa uliorushwa na Mbuyu Twite huku Tambwe akipachika bao la tatu dakika ya 76 kwa kutumia vyema pasi ya Simon Msuva.

Video ya magoli yote Yanga vs Mbao FC uwanja wa Uhuru

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here