Home Kimataifa Picha: Ndani ya hotel mbili za CR7

Picha: Ndani ya hotel mbili za CR7

1070
0
SHARE

cristiano-ronaldo-hotel

Siku kadhaa zimepita tangu superstar wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amzindue hotel yake ya pili kwenye mji mkuu wa Ureno, Lisbon, akisema ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kumiliki hotel yake mwenyewe.

Mreno huyo alisafiri moja kwa moja hadi Lisbon baada ya Madrid kulazimishwa sare ya kufungana 1-1 nyumbani na Eibar kabla ya mechi za kimataifa ambapo baadae usiku alizindua Pestana CR7 Lisboa hotel.

 “Nilipokuwa mdogo nilikuwa na ndoto ya kumiliki hotel yangu,” Ronaldo aliwaambia watu waliohudhuria uzinduzi wa  Pestana CR7 Lisboa.

Hotel hiyo yenye vyumba 82 ni ya pili, ambapo tayari alifungua ya kwanza kwa ushirikiano na Pestana group kwenye mahali ambapo alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira huku akiwa na mipango ya kuzindua nyingine mbili mwaka 2017 kwenye jiji la Madrid na New York

Hotel Pestana CR7 Funchal Madeira

The swimming pool looking onto the hotelPestana CR7 Hotel ni yakwanza kuzinduliwa kati ya nne ambazo zimepangwa kujengwa na nyota huyo wa soka
The swimming pool outside the hotel

Hotel hiyo ambayo ipo eneo la Madeira imepambwa na vitu mbalimbali za Ronaldo ikiwa ni pamoja na jezi ambazo zinasaini yake.

A corridor within the hotel with a Cristiano Ronaldo Portugal framed shirt, mirrored ceilings and a grass themed floor

A suite

A bedroom

Cristiano Ronaldo Hotel

Cristiano Ronaldo HotelPestana CR7 Lisboa, Lisbon

Hotel hiyo mpya ambayo ipo Lisbon ambao ndio mji mkuu wa Ureno, ambako ndipo Ronaldo alianzia soka na timu yake ya utoto Sporting CP. Ipo mita 50 kutoka Prace de Comercio riverside square.

Cristiano Ronaldo aliizindua akiahidi itakuwa na utamaduni wa maisha yake halisi.

Gharama za kulala kwa usiku mmoja zinaanzia euro 200 ikiwa ndio kiasi cha chini huku kila chumba kikiwa na teknolojia ya kisasa.

The new hotel is located in Lisbon, 50 metres from the Prace de Comercio riverside square

Cristiano Ronaldo has launched a new flagship hotel promising a 'true CR7 lifestyle

Ronaldo's latest venture features much of his personality including a 'virtual Ronaldo'

A slideshow of his career plays in one of the lifts while his chants are pumped from speakers

The new four-star hotel gave Sportsmail a rare look inside the new lodgings

Prices start from €200 (£176) a night with each room full of the latest technology

A room in Ronaldo's hotel is brightly coloured to represent his flamboyant personality

There are also areas where visitors can chill out in during their stay at the hotel

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here