Home Kitaifa Bocco ametwaa tuzo VPL

Bocco ametwaa tuzo VPL

577
0
SHARE

John Bocco 'Adebayor'-Nahodha wa Azam FC

Kwa mujibu wa tweet kutoka account rasmi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mshambuliaji wa Azam FC John Bocco ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi August baada ya kuwashinda wapinzani wake Mzamiru Yassin (Simba SC) na Said Kipao (JKT Ruvu).

bocco-tuzo

Bocco amekuwa mchezaji wa kwanza kutwaa tuzo hiyo msimu huu ikiwa ni mechi tano tu zmechezwa tangu kuanza kwa msimu huu August 20.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here