Home Entertainment WACHEZAJI 8 NA WANAMUZIKI WANAOWASHABIKIA

WACHEZAJI 8 NA WANAMUZIKI WANAOWASHABIKIA

1077
0
SHARE

Music-sosser

Muziki unanafasi kubwa sana kwenye maisha ya watu wengi, wacheza soka hawajaachwa nyuma katika hili. Mara nyingi wameonekana wakiwa wamevaa headphones wakiwa wanawasili viwanjani.

Hebu tuangalie ni aina gani ya muziki baadhi yao hupenda kusikiliza:

  1. David Beckham

Beckham

Anapenda muziki wa pop. Hiyo inamaanisha ni shabiki wa ustin Bieber, Selena Gomez pamoja na The Jonas Brothers.

2. Lionel Messi

Messi

“La Pulga” anapenda muziki unaoitwa cumbia, style hii ya muziki asili yake ni Colombia, na ni maarifi sana kwenye maeneo ya latin America.

3. Mario Gotze

Gotze

Anapenda muziki unaoibwa na wasanii kama Justin Bieber, Snoop Dog, Lil’ Wayne na The Black Eyed Peas.

4. Andres Iniesta

Iniesta

Ni shabiki wa Spanish band ‘Estopa’

5. Cristiano Ronaldo

Ronaldo

Favourite music & musicians: Phil Collins, George Michael, Elton and Alicia Keys

Muziki na wanamuziki anaowapenda ni: Phil Collins, George Michael, Elton na Alicia Keys.

6. Neymar Jr.

Neymar

Ni shabiki wa muziki wa Michel Telo

7. Wayne Rooney

Rooney

Anapenda kusikiliza muziki wa wasanii kama Arctic Monkeys, Bruce Springsteen, Cat Stevens na wengine.

8. Zlatan Ibrahimovic

Zlatan

Anapenda kusikiliza muziki wa Reggae, rock na hip-hop. Ni shabiki mkubwa wa Alpha Blondy.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here