Home Entertainment PEMBA SPORTS AFRICA YAWABEBA KABULA, BABY MADAHA, BELA FASTA

PEMBA SPORTS AFRICA YAWABEBA KABULA, BABY MADAHA, BELA FASTA

1044
0
SHARE

IMG-20160818-WA0005

Kundi la muziki wa Bongo linaloundwa na wadada wakali watatu likijulikana kama ‘The Scorpions ‘ limealikwa kutpiga show kesho kwenye Uganda  Entertainments Awards.

IMG-20160818-WA0002

Wadada wanaounda kundi la The Scorpions ni pamoja na Baby Madaha, Kabula na Bela Fasta. Manager anayesimamia kundi hilo ni Mama Lolla.

IMG-20160818-WA0003

Kundi la The Scorpion limedhamiria kufanya kweli kitaifa na kimataifa kuhakikisha muziki wa Bongo unavuka mipaka ya Tanzania na kwenda mbali zaidi huku wao wakilenga kupata mafanikio makubwa kama kundi.

IMG-20160818-WA0004

Pemba Sports Africa imeamua kuwa-promote wadada hao ili nao watoke na waendelee kimataifa. Kuna mipango na mikakati mikubwa kuhakikisha The Scorpions inasonga mbele na kuikia ndoto zake ikiwa chini ya Pembe Sports Africa.

IMG-20160818-WA0000

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here