Home Dauda TV Video: ASHLEY COLE ALIVYOMDHIHAKI WENGER JUU YA MBIO ZA UBINGWA WA EPL

Video: ASHLEY COLE ALIVYOMDHIHAKI WENGER JUU YA MBIO ZA UBINGWA WA EPL

519
0
SHARE

Ashley Cole

Jana Jumamosi, mchezaji wa zamani wa Chelsea na Arsenal Ashley Cole ali-post clip ya video kutoka BBC iliozihisisha timu ambazo zinatajwa kuwa kwenye kinyang’anyiro cha ubingwa EPL.

Katika video hiyo, Cole alichagua kuanza na kipengele kinachomuonesha Pep Guardiola akimkashifu Arsene Wenger, halafu akaja Jose Mourinho aakafanya vivyo hivyo.

Mourinho alipokuja akasema” he is a specialist in failure…”

Get ready for a wild season as the Premier League returns!

Cole, ambaye kwa sasa anakipiga nchini Marekani kunako klabu ya LA Galaxy iliyopo MLS, alipandishwa timu ya wakubwa ya Arsenal na Arsene Wenger.

Lakini, beki huyo wa kushoto wa zamani wa England, aliondoka kwa miamba hiyo ya Highbury enzi hizo na kuhamia Stamford Bridge kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha pesa alichokuwa akilipwa Arsenal.

Cha kushanga, mashabiki wa Chelsea wameonekana kuipenda video hiyo iliyopostiwa na Cole, angalia post hiyo ya Instagram hapo chini…

A video posted by Ashley Cole (@theofficialac3) on

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here